
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kamati ya maudhui kwa kushirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) wameandaa Mafunzo kwa wahariri, wamiliki na waandaaji wa vipindi wa vituo vya utangazaji yatakayofanyika mei 18 - 19 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment