Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Bweleo Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua ya Kumuombea Marehemu Rais Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, May 31, 2024

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Bweleo Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua ya Kumuombea Marehemu Rais Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024, baada ya Sala ya Ijumaa, dua hiyo iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo.
WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo iliyofanyika katika Masjid Taq –wa Bweleo leo 31-5-2024
BAADHI ya Wazee wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 31-5-2024.
WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo iliyofanyika katika Masjid Taq –wa Bweleo leo 31-5-2024.
SHEIKH Suleiman Zahir Khamis akihitimisha kisomo cha hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 31-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bweleo na kutowa shukrani kwa niaba ya Familia, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024 katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa shukrani kwa Wananchi wa Bweleo kwa niaba ya familia, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwnyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa.

WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kisomo cha hitma na dua iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bweleo na kutowa shukrani kwa niaba ya Familia, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024 katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages