MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR MHE.DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI YA CCM ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, June 24, 2024

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR MHE.DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI YA CCM ZANZIBAR

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa (kushoto kwa Rais) na Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika leo 24-6-2024.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 24-6-2024.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages