WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA VIRUTUBISHI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, June 15, 2024

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA VIRUTUBISHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho Felix Church, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024. Wengine pichani kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho Felix Church, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo kuhusu aina ya virutubishi vinavyozalishwa na kiwanda cha Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages