Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu
(kushoto), na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP)
Emmanuel K. Gasana, wakibadilishana hati ya makubaliano yenye mkakati wa
kuhakikisha nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda, zinakuwa salama hususan
maeneo ya mipakani na hata kwenye barabara zote zinazotumiwa na wafanyabiashara,
IGP Mangu, pamoja na ujumbe wake amefanya ziara ya kikazi nchini humo jana.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
(IGP) Ernest Mangu, akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku
moja nchini humo jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na
kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya
mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na
Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (mbele kushoto) akitoa neno mbele
ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, pamoja na
ujumbe alioongozana nao nchini humo jana, katika ziara ya kikazi yenye lengo la
kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti
uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina
ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza mwenyeji
wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana,
akitoaneno mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani) IGP Mangu, yupo
nchini Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye lengo la kuimarisha mahusiano,
kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu
hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili
ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza mwenyeji
wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, akitoa
neno mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani) IGP Mangu, yupo nchini
Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye lengo la kuimarisha mahusiano,
kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu
hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili
ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akipokea zawadi kutoka
kwa mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, mara baada ya kuitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja jana, yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza
uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (Kushoto), akiwasili nchini
Rwanda, na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini humo,
(IGP) Emmanuel K. Gasana (Kulia) wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku
moja jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa
pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa
lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
No comments:
Post a Comment