Tanga, KIWANDA Cha Saruji cha Simba Cement Tanga,
kimesema moja ya faida yake imekuwa ikiipeleka katika masuala ya kijamii yakiwemo,
Afya, Mazingira na Elimu.
Akizungumza mara baada ya Wahariri (Jukwaa la
Wahariri TEF) kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha Saruji kujionea shughuli
ambazo zinafanywa, Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart,
alisema moja ya faida huipeleka kwa wananchi.
Alisema wamekuwa wakisaidia madawati, mifuko ya
saruji na majengo pamoja na vyoo kwa shule ambazo zimekuwa zikihitaji msaada.
Akikabidhi shilingi milioni 14 kwa Jukwaa hilo, Swart alisema pesa hizo
zinaweza kuwasaidia katika majukumu yao mbalimbali ukiwemo mkutano mkuu ambao unaendelea Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Kwa upande wake, Makamo Mwenyekiti wa Jukwaa la
Wahariri (TEF) Deudas Balile, alisema amefurahishwa na uzalishaji wa Saruji
pamoja na mipango kabambe kiwandani hapo.
Akizungumzia msaada huo, Balile alisema utasaidia katika masuala mbalimbali ya Jukwaa hilo ikiwa na pamoja na mkutano mkuu na kutoa shukurani na kuwataka wawekezaji wengine kuiga mfano kama huo.
Wahariri wa vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho wakiwa katika kusubiri maelekezo kutoka kwa wenyeji wao.
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart, Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema na mmoja wa maofisa wa kiwanda hicho wakiteta jambo.
Afisa Mawasiliano na Masoko kiwanda cha Saruji cha Simba Cement Tanga, Hellen Maleko, (kulia) akiwakabidhi hundi yenye mfano wa shilingi milioni 14 Wahariri wa Jukwaa la vyombo vya habari mara baada ya kutembelea kiwanda hicho ikiwa ni msaada katika mambo yao mbalimbali ukiwemo mkutano wao mkuu unaoendelea Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema akielezea jambo kwa Wahariri waliotembelea machimbo hayo
Wahariri kutoka vyombo mbalimbali wakiangalia eneo la uchimbaji wa Material Kware kilometa 2 kutoka ndani ya eneo la kiwanda.
Akizungumzia msaada huo, Balile alisema utasaidia katika masuala mbalimbali ya Jukwaa hilo ikiwa na pamoja na mkutano mkuu na kutoa shukurani na kuwataka wawekezaji wengine kuiga mfano kama huo.
Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema na
Meneja Mawasiliano na Uhusiano Bi Mtanga
Noor wakiwakaribisha Wahariri wa Vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano Bi Mtanga Noor akiwakaribisha Wahariri wa Vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano Bi Mtanga Noor wakiteta jambo na mmoja wa wahariri wa habari waliokitembelea kiwanda hicho.
Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema akiwakaribisha na kuwaongoza wahariri wa vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho.
Afisa mmojawapo wa kiwanda hicho akimkaribisha mhariri wa vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho.Wahariri wa vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho wakiwa katika kusubiri maelekezo kutoka kwa wenyeji wao.
Meneja
Mawasiliano na Uhusiano Bi Mtanga Noor akiwakaribisha na kutoa utambulisho kwa wahariri wa Vyombo vya habari waliokitembelea kiwanda hicho.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart, akielezea jambo kuhusiana na Kiwanda hicho kwa wahariri wa vyombo vya habari waliotembelea kiwanda hicho.
Mmoja wa Maafisa wa kiwanda hicho akifurahi jambo lililozungumzwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart.
Wahariri wa vyombo vya habari waliotembelea kiwanda hicho wakifuatilia taarifa inayotolewa na Mkurugenzi wa Kiwanda hicho.
Wahariri wa vyombo vya habari waliotembelea kiwanda hicho walipata nafasi kuhoji na kuuliza maswali mbalimbali kuhusu kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart. akiwa anatoa maelezo ya majibu ya maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wahariri wa vyombo vya habari waliotembelea kiwanda hicho.
Afisa
Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema akifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart kwa wahariri wa vyombo vya habari waliotembelea kiwanda hicho.
Makamo Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri wa Habari
(TEF), Deudatus Balile (kulia), akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 14
kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji kiwanda cha Saruji cha Tanga Simba Cement,
Renhardt Swart, kusaidia jukwaa hilo katika majukumu yake ya kila siku ikiwemo
mkutano wao mkuu unaoendelea Mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart, Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema na mmoja wa maofisa wa kiwanda hicho wakiteta jambo.
Mmoja ya wahariri akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 14
kutoka kwa Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema kusaidia jukwaa hilo katika majukumu yake ya kila siku ikiwemo
mkutano wao mkuu unaoendelea Mkoani Kilimanjaro.
Afisa Mawasiliano na Masoko kiwanda cha Saruji cha Simba Cement Tanga, Hellen Maleko, (kulia) akiwakabidhi hundi yenye mfano wa shilingi milioni 14 Wahariri wa Jukwaa la vyombo vya habari mara baada ya kutembelea kiwanda hicho ikiwa ni msaada katika mambo yao mbalimbali ukiwemo mkutano wao mkuu unaoendelea Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Wahariri kutoka vyombo mbalimbali wakiangalia eneo la
uchimbaji wa Material Kware kilometa 2 kutoka ndani ya eneo la kiwanda.
Eneo la Kware ambalo kiwanda hicho toka kianze
uzalishaji wamekuwa wakichimba Matirial hadi hii leo ambapo Afisa Uzalishaji wa
kiwanda hicho, Beni Lema amewaambia Wahariri hao kuwa kuna kiwango kikifika
watasimamisha uchimbaji na kuanzisha mradi wa Ufugaji Mamba.
Wahariri kutoka vyombo mbalimbali wakiangalia eneo la uchimbaji wa Material Kware kilometa 2 kutoka ndani ya eneo la kiwanda.
No comments:
Post a Comment