Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na
mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kujitambulisha.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo
(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa
Rais, (kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU),
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na mgeni
wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo (katikati) wakiwa katika
mazungumzo wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha,(kushoto)
Mke wa Balozi Bibi. Meylin Suarez pia Afisa Mkuu wa Mambo ya Nje,daraja la Pili
(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU).
No comments:
Post a Comment