Diamond aibariki
familia mpya ya msanii wa WCB, Rayvanny ambaye amepata mtoto wake wa kwanza
wiki hii.
Ni furaha kuitwa
baba au mama hasa katika kipindi ambacho ulichokuwa ukikisubiria kwa hamu.
Wawili hao wamefanikiwa kupaa mtoto wa kiume ambaye wamempatia jina la Jayden.
Kupitia mtandao wa
Instagram, amewapongeza Ray na Fahyma kwa kuandika,
“Congrats @rayvanny & @Fahyma_ on your first Born!… Inshaallah, Mwenyez Mungu awape Baraka, awalindie na wajalie
kila lenye kheri ili Mumkuze vyema @jaydanvanny …..”
Mpaka sasa wasanii
wanne kutoka familia ya WCB wamefanikiwa kupata mtoto huku Harmonize akiwa
bado.
No comments:
Post a Comment