Mother & Child Gala
inatarajiwa kufanyika April 22, 2017 pale katika Ukumbi wa Danken House
Mikocheni.
Ni kwaajili ya Wamama,
Mama wadogo, Shangazi, Walezi na watoto wa miaka kuanzia 8 – 12 wa kike na wa kiume.
Watoto wakianza kupevuka
wanapata mabadiliko mbalimbali physically and mentally na kupitia stage
mbalimbali za mabadiliko hayo.
Je kama mama umemtayarishaji
mtoto wako kupitia kipindi hiki?
Changamoto gani mtoto anazipata
kipindi hiki huko shuleni, kwa marafiki, kwa familia na kwa jamii kwa ujumla?
Vunja ukimya ongea na
mwanao.
Pata ticket yako ya
Mother and Child Gala Event katika vituo vifuatavyo:
Mr
Price Mlimani City
Maznat
Bridal Saloon Mikocheni
MAK
bookshop Mliman City
Kinyago
trave & tour NHC House Mjini
Omy
Gift Shop City Mall
Rose
Brasilian Saloon Mikocheni
Kwa
Mawasiliani Zaidi Piga: 0718 769 010
0754 291 291
No comments:
Post a Comment