Wake
hao waliokuwa na ghadhabu waliandamana katikati ya mji siku mbili baada ya Xavier
Jugele alipigwa risasi mara mbili katika kichwa na muhalifu Karim Cehurfi.
Wakati
huo huo vyombo vya habari nchini Ufaransa vinasema kuna mtu alikuwa akijihami
na kisu amemjeruhi mtu, amekamatwa katika eneo la gare du Nord.
Polisi
hawajasema iwapo kisa hicho ni cha kigaidi.
Ufaransa
inashiriki katika uchaguzi mkuu siku ya Jumapili.
Kwengineko
maafisa wa polisi walikabiliana na waandamanaji baada ya maandamano ya muungano
wa wafanyikazi mashariki mwa Paris, mabo walitaka kura ya awamu ya kwanza.
Maafisa
wa polisi walirushiwa vitu nao wakalipiza kupitia gesi za kutoa machozi.
No comments:
Post a Comment