Naibu Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa
JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana, aliyekuja kuzungumza nae na
kubadilishana uzoefu wa kazi, kabla ya kuanza kikao kilichofanyika leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na ugeni uliomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma, ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini
Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana (wa pili kulia).
Naibu Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Mradi wa USAID
wa Boresha Afya, Ndg. Dustan Bishanga (wa pili kushoto) akizungumza leo katika
kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment