Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, akiangalia Mitambo mipya inayofungwa katika Kiwanda cha kutengeneza Sukari cha TPC, Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu
alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipata maelezo Kutoka kwa Afisa Utawala wa TPC aliyeshika
kofia Bwana Jafari Ally kuhusiana na Shughuli zinazo endelea katika
kiwanda cha Kutengeneza Sukari cha TPC, Kushoto kwa Waziri Mkuu
aliyevaa shati jeupe ni Meneja wa kiwanda Bwana Pascal
Petiot, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni.
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, akipata maelezo Kutuko kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Kiwanda cha Sukari cha (TPC) Bwana Robert Baissac, kuhusu mbegu za
kisasa za Miwa zinazozalishwa kitika Shamba Darasa la Kiwanda cha
Sukari cha TPC Kilichopo Mkoani Kilimanjaro Waziri Mkuu alitembelea
Kiwanda hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha Sukari (TPC)
Bwana Pascal Petiot kuhusiana na Mitambo Mipya ya Kompyuta ambazo
zimefungwa ili kuongeza Ufanisi Katika Kiwanda cha TPC Kilichopo
Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na kiongozi wa Chama cha Wafanyakzi wa kiwanda
cha Sukari TPC (TASIWU) Bwana Bilali Omari, waliopo katikati
aliyeva Tisheti ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Bwana Robert Baissac na Meneja wa Kiwanda hicho Bwana Pascal Petiot,
Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment