Msimamizi wa Ofisi
ya Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kushoto akitoa elimu
ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuweza kunufaika
na huduma zinazo tolewa nao kwa wananchi walilitembelea banda lao wakati wa ufunguzi wa maonyesho
ya kimataifa ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga.
Wananchi wakipima
presha kwenye banda hilo wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo
Afisa kutoka Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia kushoto akisubiri kujeza
fomu za wananchi ambao wanakwenda kupima uzito na afya kwenye Banda lao ambapo
wanatoa elimu namna ya kujiunga na mfuko huo,kupima afya.
No comments:
Post a Comment