Wanafunzi wa shule ya Msingi Pongwe
wakipita katika daraja la mbao la Chote ambalo mbao zake zimebomoka na kuwa
kero kwa watumiaji wa vyombo vya moto na wapita kwa miguu.
Daraja hilo kwa muda mrefu limekuwa
katika mazingira hatarishi ambapo nyakati za mvua hupitisha maji mengi jambo
ambalo limekuwa likiogopesha na wanafunzi kuacha kwenda shule kwa hofu ya
kusombwa na maji.
No comments:
Post a Comment