Mchezaji soka aliye ghali zaidi duniani
amefanya ziara ya kihujaji kwenda katika mji mkatatifu zaidi wa Kiislamu,
Mecca, wakati wa mwanzo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba alipakia mtandaoni picha
yake akiwa Mecca siku ya Jumapili na kuandika "kitu cha kupendeza zaidi
nilichowahi kukitazama maishani mwangu."
Aidha, aliandika ujumbe kwenye Twitter kutakia kila mtu "Ramadhani
jema."
No comments:
Post a Comment