Rais Magufuli amemtengua aliyekuwa
Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu na kumteua Kamishna wa polisi Simon Sirro kuwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi
Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, Simon Sirro
alipopandishwa cheo na kuwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment