Meneja
Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo (wa pili kulia), akishikana
mikono wa Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Kichalikani, Robert Kimario wakati akikabidhi msaada wa jengo la darasa
lililojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo,
Mkinga mkoani Tanga jana. Kulia ni Ofisa Masoko na Mawasiliano wa TCPLC, Hellen Maleko na wa pili kushoto ni Ofisa Elimu wa
Wilaya ya Mkinga, Zakayo MlInduka. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa
kusaidia jamii (CSR) imetumia kiasi cha shs milioni 44.9 kukamilisha ujenzi wa
darasa hilo pamoja na choo.
Meneja
Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo (wa nne kulia),
akishikana mikono na Kaimu Mkurungezi Mtendaji Wilaya ya Mkinga, Michael
Ndunguru wakati akikabidhi msaada wa darasa lililojengwa na kampuni hiyo. Hafla
ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo, Mkinga mkoani Tanga jana. Wanaoangalia
ni baadhi wanafunzi wa shule hiyo. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia
jamii (CSR) imetumia kiasi cha shs milioni 44.9 kukamilisha ujenzi wa darasa
hilo pamoja na choo.
Ofisa
Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko akishikana mikono na Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi
Kichalikani, Robert Kimario (wa pili kulia), wakati akikabidhi msaada wa jengo
la darasa lililojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika
shuleni hapo, Mkinga mkoani Tanga jana. Wa tatu kulia ni Meneja Usambazaji wa
kampuni hiyo, Samuel Shoo. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii
(CSR) imetumia kiasi cha shs milioni 44.9 kukamilisha ujenzi wa darasa hilo
pamoja na choo.
Ofisa
Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko akishikana mikono na Ofisa Elimu Wilaya ya Mkinga,
Zakayo Mlenduka (wa tatu kushoto), wakati akikabidhi msaada wa jengo la darasa
lililojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo,
Mkinga mkoani Tanga jana. Wa tatu kulia ni Meneja Usambazaji wa kampuni hiyo, Samuel
Shoo. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) imetumia kiasi
cha shs milioni 44.9 kukamilisha ujenzi wa darasa hilo pamoja na choo.
Msimamizi
wa Fedha wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Ahmed Mhadi,
akishikana mikono na Mwenyekiti wa
Kijiji cha Kichalikani, Khalfani Ally (kushoto) katika hafla ambayo kampuni
hiyo ilikabidhi msaada wa jengo darasa lililojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika shuleni hapo, Mkinga mkoani Tanga jana. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa
kusaidia jamii (CSR) imetumia kiasi cha shs milioni 44.9 kukamilisha ujenzi
wa darasa hilo pamoja na choo. Kushoto kwa msimamizi huyo wa fedha ni Ofisa
Masoko na Mawasiliano, Hellen Maleko na Meneja Usambazaji, Samuel Shoo.
Mtaalamu
wa Tehama wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Coleman Mbando,
akishikana mikono na mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kichalikani, Halima
Hulifani (wa tatu kushoto), walipokwenda
kukabidhi msaada wa darasa lililojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya makabidhinao
ilifanyika eneo la shule, Mkinga mkoani Tanga jana. Kampuni hiyo
kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) imeshatumia kiasi cha shs milioni
44.9 kukamilisha ujenzi wa darasa hilo pamoja na choo. wengine ni baadhi ya wafanyakazi Tanga Cement na
wanafunzi.
Mtaalamu wa Tehama wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Coleman Mbando na Msimamizi wa Fedha wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Ahmed Mhadi wakiwa katika darasa hilo.
Wanafunzi wa Shule ya msingi Kichalikani
wakifuatilia makabidhiano hayo
Ofisa Masoko na Mawasiliano wa TCPLC, Hellen Maleko akifurahia jambo wakati wa makabidhiano
hayo.
No comments:
Post a Comment