Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii. Ushiriki wa Wafanyakazi katika programu za kuisaidia jamii umeongezeka maradufu ukichangiwa zaidi na ari waliyonayo kutaka kupunguza changamoto na kero zilizopo kwenye jamii inayowazunguka na wanayoihudumia.
Sehemu ya vifaa vilivyotolewa na wafankazi wa Benki ya NMB kwa Hospitali ya Ocean Road. |
No comments:
Post a Comment