MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NA COMORO NCHINI,LEO IKULU JIJINI DAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Friday, March 3, 2017

demo-image

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NA COMORO NCHINI,LEO IKULU JIJINI DAR

indext
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
index.jpgm
Picha ya pamoja
k
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Comoro hapa nchini 
Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
kuy
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *