Friday, March 3, 2017

Muathirika wa dawa za kulevya aliejiandalia kaburi na jeneza lake
Nafahamu umeshakutana na story nyingi za watu ambao hutoa maagizo kwa ndugu zao kwamba siku wakifa wazikwe kwa majeneza gani au kuchagua sehemu za kuzikwa, leo nakukutanisha na hii ya Dubliner John Edwards, mwenye umri wa miaka 61.
Huyu ni raia wa Ireland Kaskazini ambaye ni muathirika wa dawa za kulevya, naambiwa ameamua kuchimba kaburi lake na kutengeneza Jeneza ili siku akifa azikwe hapo.
Edwards, ambaye amepoteza zaidi ya marafiki zake 20, baadhi yao kwa kujiua kutokana na dawa za kulevya, kupitia kile alichosema: “Kukutana na ajabu ya Mungu miaka 27 iliyopita”, ameamua kuanzisha kituo kitoacho huduma ya malazi na makazi kwa ajili ya watu hao.
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
WATU 12,000 WAHOFIWA KUUGUA UGONJWA WA HIMOFILIA NCHINI
Hassani MakeroApr 19, 2025KILUPI: ATAKA KURA ZA MAONI ZISIWAGAWE WANACCM
Hassani MakeroApr 14, 2025Dkt.Dimwa - Akemea Rushwa Mchakato wa Kura za Maoni
Hassani MakeroApr 14, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment