Friday, March 24, 2017

MUWSA WATUMIA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KUOTESHA MITI KATIKA VYANZO VYAKE VYA MAJI.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA)
wakishusha miti tayari kwa ajili ya kuotesha kando ya vyanz vya maji
vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi wa MUWSA, John Ndetiko akiotesha mti katika eneo la chanzo cha maji
cha Shiri.
Baadhi ya wafanyakazi wa
MUWSA wakiotesha miti katika chanzo hicho.
Hii
ni sehemu ya miti iliyooteshwa Mwaka jana katika eneo hilo zoezi lililooongozwa
na Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Saidi Mecky Sadicki.
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
BALOZI WA KOREA AKABIDHI MAKTABA YA KISASA KWA SERIKALI YA TANZANIA
Older Article
CULTURE, ARTS PROMOTE TANZANIA, CHINA TIES
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Hassani MakeroMar 12, 2025"Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu", Absa Bank
Hassani MakeroMar 12, 2025HALMASHAURI KUU YA CCM YAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTEUZI WA WAGOMBEA UONGOZI
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment