FILAMU ZINAZORUDISHA HESHIMA YA BONGO MOVIE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, April 21, 2017

FILAMU ZINAZORUDISHA HESHIMA YA BONGO MOVIE


Baada ya kuonyeshwa week mbili mfululizo Mlimani City Century Cinemax Tanzania na Mombasa.

Filamu ya #KIUMENI na #GOINGBONGO now zinapatikana Sokoni.

Filamu hii inaonyesha ni kwajinsi gani Watanzani tunaweza kufanya makubwa sana tukiachana na hizi Siasa za filamu haiwezi kuuzwa bila Supa Staa!

Timoth Conrad ni Director Bora nchini Tanzania alisema haya kwenye ukurasa wake wa Facebook: “Tunaposema mabadiliko ya soko la filamu ni pamoja na juhudi zinazofanywa na wandaaji na watengenezaji wa filamu hii ya #kiumeni big up! Hapa ndo nawakumbusha wale wengine kuwa soko la filamu linawezekana bila mhindi. Mwenye akili kashaelewa...”


Ukihitaji Piga namba 0717031003 kutoa oda ili uletewe mahali ulipo, hii ni kwa wakazi wa Dar.




Itafute upate kitu kitamu na kizuri achana na zile za stori nyepesi nyepesi zilizojaa kariakoo!

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages