AFCON NA MCHECHE WA SERENGETI BOYS - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Friday, May 19, 2017

demo-image

AFCON NA MCHECHE WA SERENGETI BOYS

2

Baada ya Serengeti boys kuonesha kiwango kizuri jana katika mchezo dhidi ya Angola na kuibuka na ushindi wa 2-1, mchezaji wa Serengeti boys Abdul Suleiman ambae aliibuka mchezaji bora wa mechi hiyo.

1

3


Alitiliwa mashaka na timu ya uchunguzi wa madawa ya kusisimua misuru na kupelekwa kufanyiwa vipimo hali iliyomfanya asipate muda wa kwenda kupokea tuzo yake ya MCHEZAJI bora na badala yake alienda kupokelewa na mchezaji mwenzake Dickson Job.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *