ZALI AMUOMBEA AUHENI EX-WAKE IVAN - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Friday, May 19, 2017

demo-image

ZALI AMUOMBEA AUHENI EX-WAKE IVAN

ZALI+1

Zari pembeni ya Ex Wake Ivan kwenye kitanda cha hospitali alipolazwa.

Miongoni mwa picha zinazozua gumzo mtandaoni Tanzania na uganda ni picha ya Zari akiwa pembeni mwa kitanda alicholala Ex wake Ivan.

ZALI+2



Mpaka sasa inasemekana ni mgonjwa na alipoteza fahamu na kujikuta Hospitalini, Kwenye Istagram ya Zari ameomba watu wamuombe Ivan na picha ya Mshuma kwenye Giza.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *