Sehemu ya wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari Jitegemee ya jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada juu ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda iliyotolewa na Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC).
Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee juu ya mauaji ya halaiki Rwanda.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee, Kanali Robert Kessy akizungumza na wanafunzi wa kidato cha sita wa shule hiyo mara baada ya Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) kutoa elimu juu ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yaliokuwa ya halaiki.
Mratibu wa Club za Wanafunzi Shule ya Sekondari Jitegemee, Capteni Hassan Juma akizungumza na wanafunzi wa kidato cha sita wa shule hiyo mara baada ya Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) kutoa elimu juu ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yaliokuwa ya halaiki.
Picha ya pamoja ya baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari Jitegemee ya jijini Dar es Salaam mara baada ya Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) kutoa elimu juu ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda.
No comments:
Post a Comment