Naibu Meya akizindua mradi mkubwa wa kisima cha maji katika jimbo la Ukonga kata ya Pugu Mtaa wa Bombani na Kigogo B, Mradi huo wa maji umegharimu kiashi cha fedha Milioni 67,610,000 kama sehemu za juhudi za Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na Wananchi pamoja na mfuko wa Jimbo.

No comments:
Post a Comment