Tuesday, March 21, 2017

‘YAH TMK’ yarekodi mbili kali ‘kideoni’
KUNDI
la muziki wa Taarabu la ‘Yah TMK’ limerekodi nyimbo mbili katika mfumo wa video
zilizoingizwa na katika mfumo huo na kampuni ya Tonny Blaise Production.
Mkurugenzi
wa kundi hilo, Said Fella alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, nyimbo hizo
‘Kibaya kina Wenyewe’ na ‘Hashuo la Mke Wenza’ ambazo anaamini ni moto wa
kuotea mbali.
Mkubwa
Fella alisema, wanaendelea na mikakati ya kufanikisha albamu ya kundi hilo
ambayo itakuwa kivutio kwa wapenzi na mashabiki wao katika medani ya muziki wa
taarabu.
“Mipango
yetu ni kufanikisha albamu ambayo itashika anga la muziki wa Taarabu nchini,
wadau wakae mkao wa kula kuzipokea nyimbo hizo ambazo ni funzo kwa jamii”
alisema Mkubwa Fella.
Aidha,
Mkubwa Fella alisema wamejipanga kuliteka anga la muziki wa taarab ambalo
linakosa mashiko kwasababu ya kukosa vionjo vinavyostahili katika miondoko
hiyo.
Tags
# BURUDANI
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
RAIS MWINYI: ASANTENI WASANII WOTE KWA KUNIUNGA MKONO
Hassani MakeroJan 24, 2025Light Upon Light Summit in Zanzibar Set to Inspire and Unite Global Muslim Community12th & 13th October 2024.
kilole mzeeSept 30, 2024BENDI ZA MUZIKI WA DANSI KUWASHA MOTO TAMASHA LA USIKU WA WAFIA DANSI JIJINI DAR ES SALAAM
Hassani MakeroMay 12, 2022
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment