Monday, June 19, 2017

Huyu ndio msanii aliyethubutu kusema yeye ndio 2 Pac mpya
Tupac Shakur amefariki miaka 21 iliyopita,
angekuwa hai basi June 16, 2017 angetimiza miaka 46 duniani, filamu mpya
kuhusu maisha yake All
Eyez On Me ilitoka
wiki hii na baadae msanii maarufu wa rap akatangaza kuwa yeye ndio Tupac Mpya.
Rapa Young Thug amesema yeye ndio TUPAC MPYA “new Pac.”
Kwenye siku ya kuzaliwa ya 2 Pac,
Thugger ametoa album iliyopewa jina Beautiful
Thugger Girls na akathibitisha ilikuwa imepangwa
hivyo kama njia ya kuonyesha yeye ndio 2 Pac mpya…
Twit yake ilisema “Nimetoa album
ya E.B.B.T.G kwenye BDAY ya 2 Pac sababu mimi ndio Pac mpya, mimi
ndio muhuni Tupac alitaka kuwa” akamaliza na kusema ‘Hivi
karibuni nitamaliza alichoanza‘…
Wasanii
wengine waliowahi kujiita 2 Pac ni pamoja na Lil Wayne ilikuwa mwaka 2013, Lil Durk, na rapa Future aliyesema
yeye ndio 2 Pac wa kizazi kipya….
Tags
# BURUDANI
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Kosa alilofanya Prince William katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto London
Older Article
Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake
BURUDANI
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment