Monday, June 19, 2017

Home
KIMATAIFA
Kosa alilofanya Prince William katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto London
Kosa alilofanya Prince William katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto London
Prince William alikuwa miongoni mwa wanafamilia
ya kifalme Uingereza kujitokeza katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto
kwenye jengo la goro mjini London lililochukua maisha ya watu 58 huku
namba hii ikitegemewa kuongezeka.
Kitendo cha Prince William cha
Kumkumbatia mama huyu aliyempoteza mume wake kwenye moto huu kimetajwa na
vyombo vya habari Uingereza kuwa ni kinyume na sheria za wanafamilia hiyo ila
Prince huyu alifanya kutokana na majonzi ya mjane huyo.
Raia wengine kwenye eneo hilo wanasema
Prince William kweli ameonekana kuguswa na majonzi yao.
Polisi imesema wanategemea namba ya
vifo kufikia wato 70.
Tags
# KIMATAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
NMB yafuturisha baadhi ya wateja wake Mjini Pemba
Older Article
Huyu ndio msanii aliyethubutu kusema yeye ndio 2 Pac mpya
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
Hassani MakeroFeb 16, 2025RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI
Hassani MakeroFeb 15, 2025A Tanzania doctor receives International Award
kilole mzeeJan 15, 2025
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment