Monday, June 19, 2017

NMB yafuturisha baadhi ya wateja wake Mjini Pemba
Meneja
Mwandamizi wa kitengo cha wateja Binafsi wa NMB - Omari Mtiga (Kulia)
akimkabidhi Afisa Tawala Mkoa wa Pemba, Bwana Yussuf Mohammed Ali zawadi
maalumu kwa ajili ya Ramadhani iliyotolewa na Meneja wa NMB kanda ya Dar es
salaam, Bi. Vicky Bishubo (hayupo pichani) mara baada ya kumalizika kwa tafrija
ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake walio kwenye
mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba.
Mkuu
wa Mkoa Pemba Kusini Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Kulia) akipokea zawadi
maalumu kwa ajili ya Ramadhani kutoka kwa Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam,
Bi. Vicky Bishubo (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari
iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo
Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa
wiki Mjini Pemba- Zanzibar.
Sehemu
ya wageni waalikwa ambao walihudhuria tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki
ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla
hii ya Futari ilifanyika Mjini Pemba-Zanzibar.
Maofisa
wa Benki ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mku wa Mkoa Pemba Kusini, Mhe.
Mwanajuma Majidi Abdalallah (Wa nne kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika
kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake
walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari
ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba.
Maofisa
wa Benki ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mku wa Mkoa Pemba Kusini, Mhe.
Mwanajuma Majidi Abdalallah (Wa nne kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika
kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake
walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari
ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba.
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
Older Article
Kosa alilofanya Prince William katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto London
Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025Benki ya NBC Yaandaa Hafla ya Futari Zanzibar, Yajivunia Ongezeko la Wateja
Hassani MakeroMar 07, 2025BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA RASHAL ENERGIES, INAYOJENGA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA
Hassani MakeroMar 07, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment