Monday, June 19, 2017

UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
Mkuu
wa kitengo cha malipo ya kiditali wa bank ya UBA Tanzania, Mr. Priscussy Kessy
akiongea na baadhi ya wafanyakazi na wateja wa benki hio wakati wa uzinduzi wa
Kadi za Mastercard zitakazoanza kutolewa kwa wateja wa UBA Bank Tanzania.
Mkurugenzi
mkuu wa bank ya UBA Tanzania, Mr Peter Makau akizungumza wakati wa uzinduzi wa
huduma mpya ya kadi za mastercard kwa wateja wa bank hiyo ya UBA Tanzania
Mkurugenzi
Mkazi wa Mastercard Tanzania Mr. Anthony Karingi (kushoto) akikata
utepe na mkurugenzi mkuu wa bank ya UBA Mr Peter Makau (kulia) kuashiria
uzinduzi wa huduma mpya ya kadi za mastercard kutoka Benki ya UBA Tanzania.
Mkurugenzi
mkazi wa Mastercard Tanzania Mr. Anthony Karingi (wa pili kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa bank ya UBA Tanzania Mr Peter Makau (wa pili
kushoto)wakikata keki kuashiria uzinduzi wa huduma hio ya kadi za mastercard ya
bank ya UBA Bank uzinduzi uliofanyika leo katika tawi la benki hio lililopo
barabara ya Pugu
Mmoja
wa wateja wakubwa wa benki ya UBA Tanzania, Mr Jitendra Kumar Bhardwayi
akizungumzia ujio wa mastercard ya UBA Bank ambayo amesema itamsaidia katika
kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao na kumrahisishia shughuli zake za
kibiashara
Baadhi
ya wafanyakazi wa UBA bank Tanzania wakifurahi mara baada ya uzinduzi huo wa
kadi za Mastercard za UBA Bank.
Wafanyakazi
wa benki ya UBA wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa kadi za mastercard
kutoka benki ya UBA leo.
Wafanyakazi
wa benki ya UBA na baadhi ya wafanyakazi wa Mastercard Tanzania wakiwa katika
picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa Kadi mpya za Mastercard za benki ya
UBA Tanzania.
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
WADAIWA KODI YA MAJENGO KUBURUZWA MAHAKAMANI
Older Article
NMB yafuturisha baadhi ya wateja wake Mjini Pemba
Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025Benki ya NBC Yaandaa Hafla ya Futari Zanzibar, Yajivunia Ongezeko la Wateja
Hassani MakeroMar 07, 2025BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA RASHAL ENERGIES, INAYOJENGA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA
Hassani MakeroMar 07, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment