Habari nyingine kubwa tangu jana na leo Tanzania ni kuhusu Mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa miaka miwili jela kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia na kupoteza maisha ya Mwigizaji mwenzake aliekua pia mpenzi wake Steven Kanumba.
Watu mbalimbali maarufu na wasio maarufu wameonyesha hisia zao baada ya kupokea taarifa za hukumu hiyo ya Lulu ambapo mmoja wao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambae ameandika “Kunayo room kwenye kila situation, Baba anakuja“
No comments:
Post a Comment