Viongozi wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Habari mara baada ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe kuwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo katika viwanja vya bunge jana Jijini Dodoma.
Viongozi wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Utamaduni mara baada ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe kuwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo katika viwanja vya bunge jana Jijini Dodoma.
Viongozi wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Sanaa na Mitindo mara baada ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe kuwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo katika viwanja vya bunge jana Jijini Dodoma.
Viongozi wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Muziki mara baada ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe kuwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo katika viwanja vya bunge jana Jijini Dodoma.
Viongozi wa wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Dini mara baada ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe kuwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo katika viwanja vya bunge jana Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment