Samatta alifunga bao hilo dakika ya 71 Uwanja wa Luminus Arena, baada ya mshambuliaji kinda wa umri wa miaka 23, Leandro Trossard kufunga bao la kwanza dakika ya 37.
Na Samatta ambaye Desemba 13 atatimiza miaka 26 amefikisha mabao 29 aliyofunga kwenye mechi za mashindano tangu ajiunge na Genk Januari mwaka 2016 akitokea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
No comments:
Post a Comment