Friday, January 25, 2019

Home
Unlabelled
KAMPUNI YA MABATI ALAF YAZINDUA KITUO KIPYA CHA MAUZO
KAMPUNI YA MABATI ALAF YAZINDUA KITUO KIPYA CHA MAUZO
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo
(wa pili kushoto), akikata utepe
kuzindua rasmi kituo cha mauzo cha Kampuni ya Mabati ya ALAF kilichopo Mwenge, jijini Dar es Salaam leo. Wanaoangalia kutoka kushoto ni, Ofisa Masoko,
Theresia Mmasy, Meneja Mkuu, Dipti Mohanty na Maneja Masoko, Isamba
Kasaka.
Mkuu wa
Wilaya ya Kiondoni, Daniel Chongolo akitoa hotuba ya uzinduzi wa kituo hicho
leo.
Mkuu wa
Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (katikat), Katibu Tawala wa Wilaya ya
Kinondoni, Stella Msofe (kulia), Meneja Mkuu wa Kampuni ya mabati ya ALAF,
Dipti Mohanty (wa pili kushoto), na Meneja Masoko wa ALAF, Sophia Assey
(kushoto), wakiwa katika uzinduzi huo.
Mkuu wa
Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (katikati), Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni,
Stella Msofe (watatu kushoto) pamoja na Meneja Mkuu wa Kampuni ya mabati ya
ALAF, Dipti Mohanty wakiwa katika picha
ya pamoja na daadhi ya wafanya kazi wa ALAF wakati wa uzinduzi huo.
Mkuu wa
Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (kulia), akiondoka baada ya tukio la uzinduzi
wa kituo hicho cha mauzo. Kulia kwake ni Meneja Mkuu wa ALAF, Dipti
Mohanty pamoja na wafanya kazi wengine.
Share This
About kilole mzee
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI
Older Article
Mahafali ya Abdul Rahman Al Sumait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment