Thursday, September 12, 2019

Benki ya NBC yasaidia ujenzi wa kituo cha polisi Lindi
Meneja wa Benki ya NBC Mkoa wa Lindi, Iovin Mapunda (katikati aliyevaa suti), akikabidhi msaada wa mabati 135 pamoja na mifuko 30 ya simenti vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4 kwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Rondo Mnara ikiwa ni sehemu ya shughuli za kusaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika tawi la NBC mkoani Lindi.

Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, akishikana mikono na Meneja wa Tawi la NBC Mkoa wa Lindi, Iovin (kulia) wakati akipokea msaada wa mabati 135 pamoja na mifuko ya simenti 30 yenye thamani ya shilingi milioni 4 vilivyotolewa na NBC kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Rondo Mnara ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za beni hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tawi la NBC mkoani Lindi. Kushoto ni Mwakilishi wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Lindi, Inspekta Benard Simpemba.
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
BENKI YA CRDB YAANDAA KONGAMANO LA UWEZESHAJI WAKANDARASI MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Older Article
Benki ya NBC yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Hassani MakeroMar 12, 2025"Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu", Absa Bank
Hassani MakeroMar 12, 2025HALMASHAURI KUU YA CCM YAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTEUZI WA WAGOMBEA UONGOZI
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment