MAKAMU WA RAIS, SAMIA AENDELEA NA ZIARA YA KICHAMA MKOA WA MAGHARIBI UNGUJA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, July 2, 2020

MAKAMU WA RAIS, SAMIA AENDELEA NA ZIARA YA KICHAMA MKOA WA MAGHARIBI UNGUJA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Magharibi Unguja katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar  leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja.


Mashauri Kuu ya CCM MKoa wa Magharibi Unguja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Unguja leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja. 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Magharibi Unguja alipowasili katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo  Zanzibar leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages