'UNTOLD STORI' YAWA GUMZO MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR ES SALAAM - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Friday, May 19, 2017

demo-image

'UNTOLD STORI' YAWA GUMZO MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR ES SALAAM

1
 Mhusika mkuu katika Mchezo wa Jukwaani wa 'UNTOLD SORY ' Amani Kipimo akiwa jukwaani katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini dar es Salaam.
2
 Sehemu ya Waigizaji  wa mchezo wa kuigiza wa Untoldy Story wakiwa jukwaani  wakati wa utambulishwaji wa mchezo huo
3
 Msanii mkongwe wa Luninga na Jukwaani Susan Lewis ‘Natasha’ akiwa na Mhusika mkuu wa mchezo wa Untold Story Amani Kipimo 'Ngasu'
4
 Sehemu ya watu waliofika kushuhudia mchezo huo wa Untold Story ambao ulibua hisia na kuwa gumzo kwa watu wengi sana
5
 Baadhi ya waigizaji wa mchezo huo wa jukwaani wakionyesha uwezo wao wa kucheza na jukwaa
6
 Rais wa Shirikisho la Filamu nchini Simon Mwakifamba akisiamama kwa heshima mara baada ya kuona mchezo huo ambao ulivuta hisa za wengi
7
 Moja ya sehemu za mchezo huo wa kuigiza ukiwa jukwaani
8
 Mwanamuziki wa maharufu wa Injili Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki David Robert aliyevaa T Shirt Nyekundu akishuhudia igizo hilo la Untold Story
9
Sehemu ya waigizaji wa igizo hilo

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *