Monday, May 8, 2017

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO
Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd
akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti
(Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa
Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Jazaa Kombo
katikati akiuliza maswali kwa Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd alipozungumza na Waandishi kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti
(Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa
Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman
akiuliza maswali kwa Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd alipozungumza na Waandishi kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti
(Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa
Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo
ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika
Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika
mkutano wa waandishi wa habari na Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd
kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa
Mwaka wa Fedha 2017-2018. Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
TUMEMVUA SAMAKI MKUNGA TANGA
Older Article
MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Hassani MakeroMar 12, 2025"Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu", Absa Bank
Hassani MakeroMar 12, 2025HALMASHAURI KUU YA CCM YAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTEUZI WA WAGOMBEA UONGOZI
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment