Wednesday, June 28, 2017

Chidinma amtaja Ali Kiba kama msanii anayetaka kufanya naye colabo Afrika Mashariki
Mwimbaji maarufu kutoka Nigeria Chidinma amemtaja
bongo fleva super staa Ali
Kiba kama msanii anayetaka kufanya naye kazi Afrika Mashariki.
Chidinma amesema haya kwenye kipindi cha
maswali na majibu na mtandao wa muziki wa Mdundo kupitia #MdundoTwitterview ya Mdundo
music.
Chidinma aliulizwa msanii gani anataka kufanya
naye kazi East Africa na West Africa, East amemchagua Ali Kiba na West amemchagua Sarkodie.
Chidinma tayari amefanya kazi na
mtanzania Joh
Makini kwenye rekodi ya Perfect Combo.
Tags
# BURUDANI
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
CHELSEA YAANZA KUWAUZA VIJANA WAKE KUSAKA FEDHA ZA USAJILI WA BAKAYOKO
Older Article
Lowassa aachiwa kwa dhamana
RAIS MWINYI: ASANTENI WASANII WOTE KWA KUNIUNGA MKONO
Hassani MakeroJan 24, 2025Light Upon Light Summit in Zanzibar Set to Inspire and Unite Global Muslim Community12th & 13th October 2024.
kilole mzeeSept 30, 2024BENDI ZA MUZIKI WA DANSI KUWASHA MOTO TAMASHA LA USIKU WA WAFIA DANSI JIJINI DAR ES SALAAM
Hassani MakeroMay 12, 2022
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment