Wednesday, June 28, 2017

Michelle Rodriguez atishia kuaga filamu za Fast & Furious
Mwigizaji maarufu HollyWood Michelle Rodriguez
ametishia kuaga filamu za Fast
& Furious kupitia
IG yake huku mashabiki wakimwaga comment za kumuomba asiondoke.
Michelle Rodriguez amekuwa na filamu hizi toka mwazo
wa The Fast
& the Furious,
ila kuna tetesi kuwa anaweza asirudi tena kwenye toleo la 9 na 10.
Michelle Rodriguez aliandika
hivi kwenye IG yake “F8
is out digitally today, I hope they decide to show some love to the women of
the franchise on the next one. Or I just might have to say goodbye to a loved
franchise,It’s been a good ride & Im grateful for the opportunity the fans
& studio have provided over the years… One Love.” Akimaanisha >> F8
imetoka digitally leo, nategemea watatuonyesha mapenzi zaidi waigizaji wa kike
kwenye toleo lijalo lasivyo nitabidi niache filamu inayopendwa zaidi, nashukuru
kwa nafasi niliyopewa na studio hii, mashabiki, One Love“
Fast
& the Furious 9 na 10 zimesha
dhibitishwa kutolewa April 19, 2019, na F10 itatoka April 2,
2021.
Tags
# FILAMU
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Mcheza tennis Serena Williams kafanya PhotoShoot ya ujauzito akiwa mtupu
Older Article
VIGOGO WA ESCROW NA IPTL WAPANDISHWA KIZIMBANI JANA
RAIS WA ZANZIBAR AMEKUTANA NA MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KIHINDI
Hassani MakeroNov 09, 2021Serikali Kuanzisha Mfuko Wa Sanaa Na Utamaduni-Dkt.Abbasi
Hassani MakeroJul 09, 2020MATOKEO YA TUNZO YA TANO YA FILAMU INAYOTOLEWA NA MFUKO WA EMERSON'S ZANZIBAR FOUNDATION KUTANGAZWA JULAI 4
Hassani MakeroJul 02, 2020
Labels:
FILAMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment