Monday, June 12, 2017

Mkuu wa mashtaka afutwa kwa kukataa kupokea simu ya Trump
Bwana
Bharara alisema kuwa alifutwa baada ya kukataa kuchukua simu ya tatu ya Trump.
Preet Bharara aliambia shirika la ABC
wiki hii kuwa alihisi simu hizo kutoka kwa Rais Trump zilikuwa zimevuka mipaka
ya kawaida inayotenganisha ofisi ya rais na uchunguzi huru wa uhalifu.
Bwana Bharara alisema kuwa alifutwa
baada ya kukataa kuchukua simu ya tatu ya Trump.
Ikulu ya white House haikujibu mara
moja madai hayo ya Bwana Bharara.
Bw Bharara ambaye aliteuliwa na Obama
na kuhudumu eneo la Manhattan, alisema ilionekana kuwa Trump alijaribui kujenga
uhusiano fulani baada ya wawili hao kukutana mwaka 2016.
"Rais obama hakunipigia simu hata
mara moja katika kipindi cha miaka saba unusu," Bw Bharara alisema.
Tags
# KIMATAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Separated siamese twins turn six today
Older Article
DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
Hassani MakeroFeb 16, 2025RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI
Hassani MakeroFeb 15, 2025A Tanzania doctor receives International Award
kilole mzeeJan 15, 2025
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment