DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, June 12, 2017

DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO

Wageni wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo
 Wageni wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo 

Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi katikati anayefuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Luiza Mlelwa wakipata futari iliyoandaliwa na mkuu huyo wa wilaya nyumbani kwake.

Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu huyo wa wilaya.

Baadhi ya waalikwa wakipata futari hiyo

Baadhi ya wageni waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo

Wageni waalikwa wakipata futari nyumbani kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza.


Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Muheza, Makame Seif katikati akiwahudumia wageni waalikuwa kwenye futari hiyo anayepokea chai ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mathew Mganga.

Wageni waalikuwa kwenye futari hiyo katikati ni Amina Omari Mwandishi wa gazeti la Mtanzania Mkoa wa Tanga na kulia ni Mariam Shedafa kutoka Azam TV Tanga.

Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa katikati akiwa na wageni wengine wakishiriki kwenye futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo.

Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa shukrani kwa kuitikia mwitikio wa futari hiyo.


Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akiagana na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika futari hiyo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages