Monday, July 1, 2019

ROBO FAINALI YANUKIA LIGI YA PROPHET SUGUYE CUP
Kiungo na mshambuliaji wa Stone town FC, Mpoki Jeremia, akijaribu kumtoka beki wa Relini FC,
wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye
Cup inayoendelea katika viwanja vya
Shule ya Msingi Kivule Jijini Dar
es Salaam ambapo Relini FC iliichapa Stone Town mabao 7-1 mchezo huo umepigwa
leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC , Edga Ramsei akimtoka mchezaji wa Stone Town Mlisho Simbe Jeremia, akijaribu kumtoka beki wa Relini FC,
wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye
Cup inayoendelea katika viwanja vya
Shule ya Msingi Kivule Jijini Dar
es Salaam ambapo Relini FC iliichapa Stone Town mabao 7-1 mchezo huo umepigwa
leo viwanjani hapo.
Manahodha wa timu hizo wakishikana mikono kabla ya kuanza
mchezo wanaoshuhudia ni waamuzi wa mchezo huo
Wachezaji wa timu hizo wakishikana mikono na waamuzi kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Tags
# MICHEZO
Share This
About kilole mzee
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
VIONGOZI NA WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
Older Article
Paralegals rescued a school-girl from risky environment.
TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI KUU TANZANIA
Hassani MakeroMar 08, 2025WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUCHUKUA NAMBA KUSHIRIKI MBIO ZA YAS KILI INTANATION HALF MARATHON
kilole mzeeFeb 15, 2025KOCHA WA YANGA APEWA MKONO WA KWAHERI
Hassani MakeroFeb 04, 2025
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment