Tuesday, July 2, 2019

Home
KITAIFA
VIONGOZI NA WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
VIONGOZI NA WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
Afisa wa Bunge Bw. Patson Sobha akimuelezea jambo Waziri wa Viwanda na Biashara Bw. Innocent Bashungwa alipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya 43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Bunge Bw. Dickson Bisile akizungumza na Wananchi waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya 43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Bunge Bw. Prosper Minja akitoa elimu kuhusu Bunge kwa Wananchi waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya 43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi wa Bunge Bw. Peter Magati akiwaelekeza jambo Watoto waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya 43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Bw. Daniel Eliufoo (wa kwanza kulia) na Afisa wa Bunge Bw. Dickson Bisile wakimsikiliza mwananchi aliyetembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya 43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam kwa lengo lakupata ufahamu kuhusu masuala ya Bunge.
Maofisa wa Ofisi ya Bunge wakitoa elimu kuhusu Bunge kwa Wananchi waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya 43 Kimataifa ya Kibiashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Benki ya NBC yangara maonesho ya Sabasaba, yatwaa tuzo ya mshindi wa kwanza taasisi za kifedha
Older Article
ROBO FAINALI YANUKIA LIGI YA PROPHET SUGUYE CUP
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Hassani MakeroMar 12, 2025"Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu", Absa Bank
Hassani MakeroMar 12, 2025HALMASHAURI KUU YA CCM YAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTEUZI WA WAGOMBEA UONGOZI
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment