DCI AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA INTERPOL WA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, September 15, 2019

DCI AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA INTERPOL WA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA

Washiriki wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo. (Picha na Jeshi la Polisi).

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akisalimiana na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo (CP), Liberatus Sabas mara baada ya kufungua Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (kushoto kwake) ni Mkuu wa Interpol Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Daniel Nyambabe. 
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (Picha na Jeshi la Polisi).
Washiriki wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo. (Picha na Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages