Sunday, September 15, 2019

NBC yaendelea kusaidia ujenzi wa shule na ofisi za walimu nchini
Meneja wa Benki ya NBC Zanzibar, Ramadhani Lesso (wa nne
kushoto), akishikana mikono na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja, Hassan Khatibu
Hassan wakati akimkabidhi msaada wa mabati 140 pamoja na vifaa vingine vya
kuezekea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 8 kuezekea madarasa manne
pamoja na ofisi mbili za walimu za shule ya Maandalizi Kizimkazi vilivyotolewa
na NBC ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za benki hiyo
zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika
shuleni hapo Visiwani Zanzibar jana.
Meneja wa Benki ya NBC Zanzibar, Ramadhani Lesso (wa nne kulia)
akikabidhi msaada wa mabati 140 pamoja na vifaa vingine vya kuezekea vyenye
thamani zaidi ya shilingi milioni 8 kwa Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja, Hassan
Khatibu Hassan kuezekea madarasa manne pamoja na ofisi mbili za walimu za shule
ya Maandalizi Kizimkazi vilivyotolewa na NBC ikiwa ni sehemu ya shughuli za
kuisaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini.
Makabidhiano hayo yalifanyika shuleni hapo, Zanzibar jana.
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Zanzibar, Ramadhani Lesso
(katikati, mwenye suti nyeusi) akikabidhi baadhi ya vifaa vya ujenzi vikiwemo
mabati 140 pamoja na vifaa vingine vya kuezekea vyenye thamani zaidi ya
shilingi milioni 8 kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Maandalizi ya Kisimkazi
vilivyotolewa na NBC mjini Zanzibar jana. Wa nne kushoto ni Mkuu wa Mkoa Kusini
Unguja, Hassan Khatibu Hassan.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hassan Khatibu Hassan (wa pili
kushoto), akizungumza kabla hajapokea msaada wa mabati 140 pamoja na vifaa
vingine vya kuezekea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 8
kutoka benki ya NBC kwa ajili ya kuezekea madarasa manne pamoja na ofisi mbili
za walimu za shule ya Maandalizi Kizimkazi katika hafla iliyofanyika visiwani
Zanzibar jana. Wa nne kulia ni Meneja wa NBC Zanzibar, Ramadhani Lesso.
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Zanzibar, Ramadhani Lesso (wa
pili kulia) akizungumza katika hafla ya kukabidhi msaada wa mabati 140 pamoja
na vifaa vingine vya kuezekea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni
8 kwa ajili ya kuezekea madarasa manne pamoja na ofisi mbili za walimu za shule
ya Maandalizi Kizimkazi vilivyotolewa na benki hiyo visiwani Zanzibar jana.
Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hassan Khatibu Hassan.
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Hassani MakeroMar 12, 2025"Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu", Absa Bank
Hassani MakeroMar 12, 2025HALMASHAURI KUU YA CCM YAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTEUZI WA WAGOMBEA UONGOZI
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment