RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA EQUITY KATIKA KILELE CHA WIKI YA MAJI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, March 23, 2022

demo-image

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA EQUITY KATIKA KILELE CHA WIKI YA MAJI

DAA865C1-A5BA-43B4-953B-409159A7E0B9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alitembelea banda la Benki ya Equity lililopo Mlimani City hapo jana kwenye maadhinisho ya Wiki ya Maji ambako alipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bi. Isabela Maganga, namna Benki ya Equity ilivyo mstari wa mbele kuhakikisha inachangia juhudi za serikali katika upatikanaji wa maji safi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *