MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI IKULU KUHUSU ZIARA RASMI YA KISERIKALI ALIYOFANYA RAIS SAMIA JAMHURI YA KOREA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, June 6, 2024

MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI IKULU KUHUSU ZIARA RASMI YA KISERIKALI ALIYOFANYA RAIS SAMIA JAMHURI YA KOREA

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji) Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu masuala ya Uwekezaji wakati wa Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Viongozi mbalimbali pamoja na Waigizaji wakiwa kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Mafanikio yaliyopatikana kufuatia Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu masuala mbalimbali ya Teknolojia ya Mawasiliano wakati wa Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages