MSHINDI WA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO YA NBC AKABIDHIWA GARI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, March 23, 2017

MSHINDI WA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO YA NBC AKABIDHIWA GARI



Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi funguo ya gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka  2016 kwa Aldo Nsuha  mshindi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Wateja wawili wa benki hiyo walishinda zawadi ya gari kila mmoja.


Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi nyaraka za Bima za gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka  2016 kwa Aldo Nsuha  mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam.



Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi vibao vya namba za gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka  2016 kwa Aldo Nsuha  mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya Benki ya NBC, Aldo Nsuha mkazi wa Tabata, jijini Dar es Salaam akijaribu kuwasha gari lake aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka  2016 baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam leo. Anayemuangalia ni mke wake, Zenobia Tarimo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages